07.08.2018-13.08.2018 Kutuhusu Wikimedia ya Ujerumani waliandika! makala kuhusu OSM hasa OSMKilaWiki. Makala hiyo inajumuisha historia ya OSM na OSMKilaWiki, na taarifa juu ya inamanisha nini kuendesha blog ya wasomaji 12,000. Kama ilivyoripotiwa, OSMKilaWiki sasa inatafsiriwa kwa lugha za Kiswahili na Kikorea, ambayo …
Read More31.07.2018-06.08.2018 SotM 2018 Kuandika ripoti juu ya SotM-2018 huko Milan ilikuwa mmoja ya mahitaji kwa ajili ya washindi wa udhamini. Kwa sasa wafuatao wameshatuma ripoti zao: arnalielsewhere kutoka Ufilipino Austin Zhu kutoka China Kateregga1 kutoka Uganda Ripoti kuhusu Mkutano wa State of the Map 2018 uliofanyika …
Read More24.07.2018-30.07.2018 About us OSMKilaWiki sasa inachapiswa katika Kikorea. Kikorea kinazungumzwa na watu wapatao milioni 80, hasa katika Korea lakini pia ni lugha rasmi katika mikoa miwili ya Kichina. Habari zinazohusiana na OSM sasa zinaweza kusomwa kwa Kijapani, Kicheki, Kiingereza, Kihispania, Kifaransa, Kijerumani …
Read More